Home Siasa DKT. MWINYI KUTANGAZA BARAZA LA MAWAZIRI KESHO

DKT. MWINYI KUTANGAZA BARAZA LA MAWAZIRI KESHO

29
0

Na mwandishi wetu.

Raisi wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Ali Mwinyi kesho tarehe 13.11.2025 atakutana na Waandishi wa Habari Ikulu Zanzibar kutangaza Baraza jipya la Mawaziri baada ya kushinda kiti Cha Riasi katika Uchaguzi Mkuu uliyofanyika Oktoba 29.2025 na kuibuka mshindi kwa kupata Kura 448,832 sawa asilimia 74.8 ya Kura zote.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here