Food Matters
RAIS MWINYI AWATEUA WAJUMBE WAPYA WA BARAZA LA WAWAKILISHI
Na Mwandishi wetu.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, ameteua majina mapya ya viongozi wa Baraza la...
Travel Guides
Healthy Life
HAMAD RASHID WA ADC ATAKA WENYE ULEMAVU KUWEKEWA MAZINGIRA WEZESHI YA...
Na Fatma Hamad, Pemba.
Mgombea urais kwa tiketi ya chama cha Alliance for Democratic Change (ADC) Hamad Rashid Moh’d ameishauri Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC)pamoja...
DKT. MWINYI ARIDHISHWA NA MAENDELEO YA BIASHARA, ATOA AHADI KUBWA KWA...
Na Siti Ali.
Mgombea wa Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) ambaye pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt....
Sport News
DKT. MWINYI AMUAPISHA HEMED SULEIMAN ABDULLA KUWA MAKAMU WA PILI WA RAIS WA ZANZIBAR.
Na Siti Ali.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amemuapisha Mhe. Hemed Suleiman Abdulla kuwa Makamu wa...
WAANDISHI WA HABARI WATAKIWA KUTUMIA FURSA ZA MAENDELEO KUTETEA HAKI ZA WATU WENYE ULEMAVU
Na Mwandishi wetu Mkoa wa Kusini Unguja, Novemba 11,2025.
Waandishi wa habari wameshauriwa kuzitumia fursa wanazozipata juu ya utekelezaji wa maendeleo kwa jamii na taifa...
WAVUVI WA MICHAMVI WATAKIWA KUZINGATIA SHERIA NA MIPAKA YA UVUVI KUEPUKA MIGOGORO.
Na Said khamis, Nov.12,2025.
Wavuvi wanaovua katika bahari ya Michamvi wametakiwa kufuata sheria na kanuni zilizowekwa na Idara ya Uvuvi na Maendeleo ya Mazao ya...
KATIKA MAADHIMISHO WIKI YA VIJANANA JE NI IPI NAFASI YA KIJANA KATIKA MCHAKATO WA...
Na: Samira Saidi.
Ibara ya 3(1) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977, iliyorekebishwa na kuifanya Tanzania kuwa taifa linalofuata mfumo...
MAABARA YA UTAFITI WA AFYA YA WANYAMA ZANZIBAR, KUTOA HUDUMA ZA VIWANGO VYA...
Na Saaid Khamis.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Katiba, Sheria, Utumishi na Utawala Bora Mhe. Dkt. Haroun Ali Suleiman amesema Serikali kwa kushirikiana na...












































